Kuna mtu aliuliza ulipofika Dar kwa mara ya kwanza ulishangaa kitu gani? Jamaa mmoja akajibu kuwa alishangaa daladala imeandikwa Gerezani na watu wanagombania kuipanda ndiyo kama wewe sasa! [emoji3][emoji3] [emoji38][emoji38]Acha TU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina keki hapa na box langu nikawa natoa tu macho,, Yaani nimeshangaa watu wanadandia gari kabla haijasimama
Daslam[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1975477
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado yeye ni Mungu [emoji120]Amen mama mtumishi. ahsante kwa maombi.
Pole kwa kumpoteza jirani & rafiki.
Ofcourse, nakuelewa vizuri katika hili, nadhani kwenye maisha kuna watu ni very unique.
Kuna aina ya watu hawana copy zao kabisa, not even bad copies.
Yote kwa yote tunamshukuru Mungu.
Selfie...nadhani wacha kwanza kazi iendelee. Nasema uongo mama mtumishi?
View attachment 1975612
Tangu nimefika Dar hii ni mara yangu ya pili kupanda daladala.Kuna mtu aliuliza ulipofika Dar kwa mara ya kwanza ulishangaa kitu gani? Jamaa mmoja akajibu kuwa alishangaa daladala imeandikwa Gerezani na watu wanagombania kuipanda ndiyo kama wewe sasa! [emoji3][emoji3] [emoji38][emoji38]
Aisee poleTangu nimefika Dar hii ni mara yangu ya pili kupanda daladala.
Hakiyanani nimeteseka Leo,yaani Korogwe hadi Kimara mwisho kwa mwendokasi huwa natumia dakika 2 hadi tatu.
Leo nusu saa nzima[emoji119]
Nimeshangaa utaratibu wa kudandia gari kabla haijasimama,na abiria waliofika hawajashuka Bado[emoji38].
Nilishangaa pia daladala za Dar hazina maandishi nyuma Na mbele kama Mbeya.
Yote tisa, kumi Zile ngazi za lift zinazotembea,pale City Mall aisee zilinitoa jasho Mno.
Huyo wa daladala ya gerezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muendelezo nilikoishia jana karibuni.Ngoja niikofyuzi minyoo leo, ndio nalamba kwa mala ya kwanza.View attachment 1974606
Mzee unafaidi view asee mwenye njano [emoji7][emoji7]
Aisee hii view inafanya bia ziende vzr[emoji28]Mzee unafaidi vieaw asee mwenye njano [emoji7][emoji7]
Watoto mboga 100 nyie[emoji57][emoji57]Tangu nimefika Dar hii ni mara yangu ya pili kupanda daladala.
Hakiyanani nimeteseka Leo,yaani Korogwe hadi Kimara mwisho kwa mwendokasi huwa natumia dakika 2 hadi tatu.
Leo nusu saa nzima[emoji119]
Nimeshangaa utaratibu wa kudandia gari kabla haijasimama,na abiria waliofika hawajashuka Bado[emoji38].
Nilishangaa pia daladala za Dar hazina maandishi nyuma Na mbele kama Mbeya.
Yote tisa, kumi Zile ngazi za lift zinazotembea,pale City Mall aisee zilinitoa jasho Mno.
Huyo wa daladala ya gerezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unageuzia wapi ukiwa Korogwe?Aisee pole
Bila kugombania gari haufiki ...
Mimi huwa nageuza tu na gari au naamua kukimbilia gari tu [emoji1787].
Sijasema ageuzeUnageuzia wapi ukiwa Korogwe?
[emoji1756]Sijasema ageuze
masasi imeua simba mtu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tangu nimefika Dar hii ni mara yangu ya pili kupanda daladala.
Hakiyanani nimeteseka Leo,yaani Korogwe hadi Kimara mwisho kwa mwendokasi huwa natumia dakika 2 hadi tatu.
Leo nusu saa nzima[emoji119]
Nimeshangaa utaratibu wa kudandia gari kabla haijasimama,na abiria waliofika hawajashuka Bado[emoji38].
Nilishangaa pia daladala za Dar hazina maandishi nyuma Na mbele kama Mbeya.
Yote tisa, kumi Zile ngazi za lift zinazotembea,pale City Mall aisee zilinitoa jasho Mno.
Huyo wa daladala ya gerezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, kwa sababu umezungumzia ulinzi mkali itakuwa kama ifuatavyo...Ujumbe umfikie pia NDINDA na mtaalam wa kutoa maua and 100 others 😁😁😁😁View attachment 1975050
Mkinipa ulinzi mkali natupa maua yote!!!🙂😁😉
Na hili fukuto la joto kwenye daladala,utadhani tukewekwa kwenye mfuko.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu daslam. Kuna mengi ya kushuhudia ambayo ni ya kushangaza na kuchekesha zaidi ya hayo cha msingi usisepe mapema tu.