Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani mtoto achague ujambazi,atenguke kiuno kwa athari za ujambazi afu arudi kumlaumu baba badala ya kulaumu uchaguzi wake!
Inashangaza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ulijua kwenye ujambazi kuna kutenguka viuno kwanini ulimpa uhuru wa kuchagua halafu uje umuadhibu kwa uchaguzi aliofanya! Hapa siyo suala la mtoto kumlaumu baba bali ni baba kumuadhibu mtoto kwa uhuru aliompa mwenyewe!

Ukishasema wewe siyo dikteta na ukampa mtu uhuru wa kuchagua hiki au kile basi haupaswi kumuadhibu kwa uchaguzi atakaoufanya! Ukimuadhibu unarudi pale pale kwenye udikteta maana yake kumbe ulitaka achague hiki tu na siyo kile!
 
Nilimwambia mapema kila njia atakayoichagua na madhara yake.
Kwahiyo amechagua kula tunda basi awe tayari kufa,,,hilo lilikuwa wazi tangu mwanzo.

Mnataka kumlaumu MUNGU kwa kiburi chenu wenyewe?
Na alishaonya kwamba usile tunda la mti wa kati..

Hapo labda mumlaumu shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20211015-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom