Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Town kule wewe[emoji23]
Hali ya hewa nzuri ..
Huku kwenu watu tunataka kuzimia kwenye daladala kwa kukosa hewa[emoji38]...
Yaani nang'atwa na mbu kwenye daladala!

Sent using Jamii Forums mobile app
Achaga madharau sister [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] kila siku nakuambiaga mbona unapoteza kumbumumbu mapemaa[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
 
Mkuu haunipendi wewe!
Hivi Unaweza toka mwenge hadi Kimara kwa mguu???
Na zile barabara za pembeni zote zinajaa magari.

Dah wananihangaisha[emoji23],hadi nisome mbele ..
Sasa unakuta nyingine imepitiliza, Halafu konda anataka asimame kwa mbele kuuliza kama naenda,na mimi ndio hadi nisome kabla sijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana.
 
Town kule wewe[emoji23]
Hali ya hewa nzuri ..
Huku kwenu watu tunataka kuzimia kwenye daladala kwa kukosa hewa[emoji38]...
Yaani nang'atwa na mbu kwenye daladala!

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbu kwenye Daladala.
 
Ushakata tiketi ya Sauli[emoji965] au Imani au Mnyama Golden Deer[emoji1662]? Useme mapema nikutumie boda wa kukupeleka Mbezi louis uondoke
Imani plus[emoji38]

Juzi nilipanda boda toka fire hadi shekilango... wallah nilitaka kuzimia kwa presha.

Boda inapenya katikati ya magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imani plus[emoji38]

Juzi nilipanda boda toka fire hadi shekilango... wallah nilitaka kuzimia kwa presha.

Boda inapenya katikati ya magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana kabisa na boda moro road bado tunakupenda usije kuondoka bila kutuachia copy.

Ila wanyaki mna visa?
FB_IMG_1634322890142.jpg
 
Achana kabisa na boda moro road bado tunakupenda usije kuondoka bila kutuachia copy.

Ila wanyaki mna visa?View attachment 1976015
Yaani hadi nilimwambia yule kaka aende taratibu,naogopa[emoji38].

Mtuache wanyaki jamani na shepu zetu kama makabati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tunavyopenda kuvaa Sasa[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hadi nilimwambia yule kaka aende taratibu,naogopa[emoji38].

Mtuache wanyaki jamani na shepu zetu kama makabati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tunavyopenda kuvaa Sasa[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Imani plus[emoji38]

Juzi nilipanda boda toka fire hadi shekilango... wallah nilitaka kuzimia kwa presha.

Boda inapenya katikati ya magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sipo comfortable na boda kabisa
nakosa amani hadi nafika ...

Ila inatokea siku una haraka , hakuna namna unapanda tu , ili uwahi kufika .
 
Hahaha daladala zinachosha sema ndo usafiri wetu huu ....

Mimi nakaaga kituoni nusu saa kusubiria daladala , hapo huwa najisemea moyoni wacha watu wanunue magari , haijalishi brand ipi ,gari ni gari.
Kwa kweli
Wenye magari yao wana nafuu japo nao wanasota kwenye foleni[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom