Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Ukumbi wa The Point zone.!Nikumbushe pale ulikuwa kabla ya kuja mataa ya Phillips. Kuna mtu anatafuta ukumbi najua pale watakuwa na reasonable price maana kagusa AIM mall kataka kuzimia.
Ukumbi wa The Point zone.!Nikumbushe pale ulikuwa kabla ya kuja mataa ya Phillips. Kuna mtu anatafuta ukumbi najua pale watakuwa na reasonable price maana kagusa AIM mall kataka kuzimia.
Wewe unakubali mkuu kwamba ana miaka hiyo?Achana miaka bruh!![]()
Nimeshakuwa dada. Nimeona mengi eti![]()
Superb.Ukumbi wa The Point zone.!
Kuna jambo?Superb.
Kwani miaka unapeleka wapi mkuu?Wewe unakubali mkuu kwamba ana miaka hiyo?

Nataka kwenda disco. Si unajua pale chini lipo 😂 😂 Jokin'Kuna jambo?
Ndiyo maana mkiomba hela ni nadra sana mwanaume kukwepa labda asiwe nayo
I'll tusi you. Lione 😂Zamani paliitwa Rest in peace.
Kweli, palikuwa panaitwa Rest in peace kwa sisi wa kongwe.I'll tusi you. Lione![]()
Tunasubiri kupewaNdiyo maana mkiomba hela ni nadra sana mwanaume kukwepa labda asiwe nayo

Nimepajua. Ila sikuwa mitaa hiyo 😂Kweli, palikuwa panaitwa Rest in peace kwa sisi wa kongwe.
Ni pale central kwa Nyuma, pale makaburini mkono wa kulia ukiwa unaenda mnara wa mwenge tokea hapa polisi.
Kumbi zipo ni wewe tuuNataka kwenda disco. Si unajua pale chini lipo![]()
Jokin'
Nilitaka ukumbi, tuna shida nao.
Nilikuona unaruka majoka..Nimepajua. Ila sikuwa mitaa hiyo![]()
Hahahaha BTW nimekumiss.Nilikuona unaruka majoka..
7
Ndiyo hiyo ya majirani zake Saint Anne
I never do it. Nitaijaribu 😂
Tamu mnoooI never do it. Nitaijaribu![]()

Missing you too mama JeiHahahaha BTW nimekumiss.