Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Ulipotelea wapi? You are missed pande hizi bro!yule mwamba anayeringishia demu wake sijui yuko wapi
![]()
Ulipotelea wapi? You are missed pande hizi bro!yule mwamba anayeringishia demu wake sijui yuko wapi
![]()
Daah! Si useme 3 tuu yaishe.Nimezoea 1-3![]()

hahahahaha sikuaminiItakuwa yuko angani, alisema yeye ni rubani.
miss u too Zoe....Ulipotelea wapi? You are missed pande hizi bro!


nipo sista dunia imenielemeaHaha tuliaDaah! Si useme 3 tuu yaishe.![]()
Alisema serious. Akatuma na pichahahahahaha sikuamini
Jamani ajitokeze mtu aninunulie hicho kiatu.nataka nivutike kwa juu kidogo
View attachment 1974572
Hiyo 3 km 3 ,lol!Nimezoea 1-3 😂
Ndo nini sasa hii we mzee😁😁
Natamani kukuona ukikaa humo unakuwajeNdo nini sasa hii we mzee😁😁
aaah nikajua unaznguq.....aje tena alichangamsha sana uzi vilivyoshushwa vinu....Alisema serious. Akatuma na picha




Piga mkuu ,utafeel amazingNgoja niikofyuzi minyoo leo, ndio nalamba kwa mala ya kwanza.View attachment 1974606
Nimetulia tuli kama jiwe kwenye majiHaha tulia
Ma expert walisharuka nayo tangu inatua day one.Ngoja niikofyuzi minyoo leo, ndio nalamba kwa mala ya kwanza.View attachment 1974606
Yaani mtoto achague ujambazi,atenguke kiuno kwa athari za ujambazi afu arudi kumlaumu baba badala ya kulaumu uchaguzi wake!Sasa kama siyo dikteta kwanini umuadhibu mtu kwa uhuru uliompa? Yaani ni sawa baba amuambie mwanaye achague kuenda shule au kuwa jambazi halafu akichagua awe jambazi amuadhibu wakati alimpa uhuru wa kuchagua sasa kama hakutaka mwanaye awe jambazi si angesema aende shule tu?
miss u too Zoe....nipo sista dunia imenielemea


