Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Peter wa royal village ndy Nani tena🤔Kiba yupi tena 🤣🤣 me naona anaelekeana sura na Peter wa Royal Village Dom 😂 hakiii vile.
Peter wa royal village ndy Nani tena🤔Kiba yupi tena 🤣🤣 me naona anaelekeana sura na Peter wa Royal Village Dom 😂 hakiii vile.
Nikumbushe pale ulikuwa kabla ya kuja mataa ya Phillips. Kuna mtu anatafuta ukumbi najua pale watakuwa na reasonable price maana kagusa AIM mall kataka kuzimia.Afu nilikuona mahali weekend
baunsa mmoja hivi 😂Peter wa royal village ndy Nani tena🤔
Hapa ndy nimeshajua km Una miaka mingi basi haizidi 24
Unaonekana hauzidi miaka 24
🤣🤣Wewe na financial services sijui mnanitafuta Mimi..Yani Mimi nafanana na baunsa🤔baunsa mmoja hivi 😂
Mama ako mdogo huyoSijui Kwa nn moyo umenidunda paah..zile lips sasa😋😋
🤣🤣Wewe na financial services sijui mnanitafuta Mimi..Yani Mimi nafanana na baunsa🤔
Mdogo sn huyo..naweza kumuweka ndani kabisa🤣🤸🤸Mama ako mdogo huyo
So sad 😆Mdogo sn huyo..naweza kumuweka ndani kabisa🤣🤸🤸
Hpn ninmtu lkn sasa najiuliza kwamba ina maana nimevimba mwili kiasi hiko kweli🤣?Kwani baunsa sio mtu?
Ndiwoo.Hpn ninmtu lkn sasa najiuliza kwamba ina maana nimevimba mwili kiasi hiko kweli🤣?
Nashukuru,anapambana
Ata tanga waweza kuwa mwenyeji wangu,unajua Handeni kisese.....nilinunuaga kiwanja yaani hata sielewi kipo au vipi
....huwa najichekaga tu.

![]()
Karibu miss Warda

Natumia ginger ale . mwambie aniletee huku nyuma
Umepata...kingine?Natumia ginger ale . mwambie aniletee huku nyuma
Kuku kitunguu nusu 😋
We haya tu 🤣