Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,223
Usipokuwa na mdomo nina hakika hakuna ME mpigaji, unless awe mlevi wa kutupwaaWengine tayari tuna vilema,,,fikiria mtu anakutengua na kipondo tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipokuwa na mdomo nina hakika hakuna ME mpigaji, unless awe mlevi wa kutupwaaWengine tayari tuna vilema,,,fikiria mtu anakutengua na kipondo tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usingetoa hiyo Saint Anna ukampea hizo nyingine nne Ambazo zinafaa kunywaSasa hayo ni mawazo yako mchumba,na wala si ya Mungu.
Kila alichokiumba na tazama aliona ya kwamba ni chema machoni pake.
If things fall apart, don't find someone to blame...you have to blame yourself.
Kutotii ndiyo kulikopelekea haya yote.
Yaani mchumba Mimi nikupe pombe hapo aina 5,,nikakuambia hii saint Anna usiinywe,wewe ukainywa ukalewa au ukazimia...
Badala ya kujilaumu wewe,unataka unilaumu Mimi!!!
Nikaenda mbali zaidi na kukupa option ya kutoa hayo madhara ya hiyo Saint Anna uliyoifukia kijeuri,,bado hutaki kufwata..unang'ang'ana kunilaumu kwa nini nilikupa!
Inaingia akilini kweli?
Hata kama ni tamu tunatakiwa tuwe na akili aisee. 😂Yaani acha tu mdada wa watu amefunga chuo baada ya mwenda kwao kaja kuishi kwa mchumba wake .
Nilimuonea huruma aisee
Mapenzi ni upofu .
Oleweni muupate ufalme wa Mbinguni jamaniDuh ndoa kumbe ni ngumu jamani!
Nimestushwa na kelele za vipigo,nyumba ya jirani wanatwangana hatari ..mwanamke anapigwa na bado anaongea huku analia,mara utaniuwa,mara nipige.
Ameachwa ndio anapaza sauti zaidi..sasa hivi nasikia "nipigee"
ana sauti Kali aisee![]()
Yaani unatakiwa ufikirie mara mbili mbili ,,Hata kama ni tamu tunatakiwa tuwe na akili aisee. 😂
Nyau we 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oleweni muupate ufalme wa Mbinguni jamani
That breakfast😍😋Leo nimeamka na vibe la mvinyoo. Shoshoo uniombee 😂 Lenie siku iishe salama si unajua 🤣🤣View attachment 1973762
Vipigo havivumiliki mchumba.
Huyu mama kuna siku alipiga simu shuleni, School bus wanazopanda wanawe huwa zinajaa,halafu wanaambiwa wapakatane..Me sipendi hii tabia. Nilipanga nyumba 1 hivi (boma la mmasai, dah huyo faza house alikuwa anambutua mke wake hadi sio poa.
Siku 1 nikawa na hela ya mchezonikampiga bapa kubwa 1 tumechill dukani kwa braza ake tunapiga story. Nikampa za uso anayofanya sio poa , anawajengea nini watoto? Wako na 2 kids akanambia sikia mdogo wangu hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mpole. Mke wangu ana mdomo sanaaaa, na ana mdomo yule dada
Hivyo ukute huo mkong'oto ni matokeo ya mdomo wa mke.
,anasema sasa hela ya usafiri natoa ya nini,,,mtoto mdogo ampakate mwenzie hamuoni kama ni hatari.
.Tatizo huwa linaanzia wapi ujue??Inahuzunisha sana , kupiga sio suluhisho Bora mkae chini muongee yashaishe .
Wengine wanaume unakuta ndio chanzo cha mdomo wa mkewe.Usipokuwa na mdomo nina hakika hakuna ME mpigaji, unless awe mlevi wa kutupwaa
Kwa sababu nimempa zote,na nimeacha maagizo ya kufuata.Kwanini usingetoa hiyo Saint Anna ukampea hizo nyingine nne Ambazo zinafaa kunywa
Tutafika tukiwa hoi tumechoka sana.Oleweni muupate ufalme wa Mbinguni jamani
Huyu mama kuna siku alipiga simu shuleni, School bus wanazopanda wanawe huwa zinajaa,halafu wanaambiwa wapakatane..
Aliwawashia moto,anasema sasa hela ya usafiri natoa ya nini,,,mtoto mdogo ampakate mwenzie hamuoni kama ni hatari.
Yule Mwalimu akamwambia tunalifanyia kazi hili suala,,
Huyu mama anasema mnapoendelea kulifanyia kazi, naomba watoto wangu wasinyanyuliwe wala kupakatana na wengine
Mama anapanga hoja kama mbunge.
Nikasema kwa style hii, mwanaume hawezi kubishana naye na akashinda.
Wamedundana wenyewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hapo kwa kuongea tupo vizuri ,Tatizo huwa linaanzia wapi ujue??
Wanawake huwa ni wazuri sana mdomoni,,,kwa vyovyote vile lazima ashinde.
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaAisee hapo kwa kuongea tupo vizuri ,
Midomo inatuponza hii jamani ...
Ila kuna mambo yanatia hasira mno kama usaliti n.k ..Sana
Unakuta dada anaongea,yaani hampi nafasi mwenzie.
Hakuna mwanaume atakubali kushindwa kila siku,ndiyo maana wanaamua kujaribu option nyingine ya kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app