Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ndiyo alikuacha uchague.Unamuachaje binadamu ambae ni kiumbe dhaifu achague...not fair kabisa
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mwanadamu kwa kutotii,akaamua ajaribu aliyokatazwa.
Hapo labda mtupie lawama Eva au Adam na wala si Mungu.



