Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,681
- 208,843
We me pale mboko nimekula sana, kutandikwa ilikuwa kawaida tu. Sijui ka mtihani gani mmepata chini ya 60 mboko, afandez wanaalikana 😂 Afande kapita dirishani kasikia minong'ono ni darasa zima mnalambwa.[emoji38]
Ni wapi hapo kwanza?
Unasema 3 tu![emoji38]
Mimi nilikuwa siwezi vumilia fimbo zaidi ya moja.
Ni haya mashule ya hawa wakuda waliojitoa kwenye kundi la uraia.
Nimepamiss ila 😆