Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shalom Tanzania
JamiiForums219556768.jpg

Duh ndoa kumbe ni ngumu jamani!
Nimestushwa na kelele za vipigo,nyumba ya jirani wanatwangana hatari ..mwanamke anapigwa na bado anaongea huku analia,mara utaniuwa,mara nipige.
Ameachwa ndio anapaza sauti zaidi..sasa hivi nasikia "nipigee"
ana sauti Kali aisee
Ndoa ngumu
Aisee pole kwa huyo dada .
 
Naona wamemaliza kugombana maana sisikii tena kelele.
Walianza kujadili,nasikia mwanaume anasema enhee sema,,dada anaongea kwa hasira malalamiko yake huku analia .

Ila sema dada huwa anaongea sana aisee..tunashare ukuta wa fensi kwahiyo huwa namsikia,,dada mjuaji mno. Japo mimi sijui sababu ya wao kutwangana.
 
Utashangaa bdae anampa penzi kama kawaida....wengine vipigo ni sehemu ya mapenzi
 
Muoga sana wewe....
Mwili wenyewe wa kunipiga uko wapi
Atakayenipiga anatafuta kesi tu..mtu mwenyewe mdhaifu baadhi ya viungo halafu nipigwe tena!!

Last time nyumbani sijui nilipigwa lini,i guess nikiwa primary..tena na mama..baba yangu hakuwahi kunipiga hata siku moja.

Mimi ikitokea kesi huwa sikimbilii kubishana, nakimbilia kulia..nikilia tu huwezi endelea kunilaumu..utaanza nibembeleza huku ukisema"usirudie tena"
 
Naona wamemaliza kugombana maana sisikii tena kelele.
Walianza kujadili,nasikia mwanaume anasema enhee sema,,dada anaongea kwa hasira malalamiko yake huku analia .

Ila sema dada huwa anaongea sana aisee..tunashare ukuta wa fensi kwahiyo huwa namsikia,,dada mjuaji mno. Japo mimi sijui sababu ya wao kutwangana.

Inasikitisha sana na ni bora kama hawapigi kelele tena ,kupigwa ni vibaya dah sijui tufanyaje ,Mungu atufundishe kunyamaza .
 
Utashangaa bdae anampa penzi kama kawaida....wengine vipigo ni sehemu ya mapenzi
Siyo kwa vipigo vile
Hadi nyumba jirani navisikia.

Sema atakuwa ameshambembeleza,wameingia ndani kufanya yao..hakuna mkate mgumu mbele ya chai .
Ila ningekuwa mimi huyo mwanaume naye cha moto angekiona..ningejilegeza wiki nzima hadi aombee poo.
 
Mambo ni magumu

Nikiona hayo napata nguvu ya kutotamani ndoa..

Mimi bora mtu anifanyie lolote ila sio kunipiga aiseee!
Yaani lazima mtu hapo usitamani siku moja nilipopanga mdada huyo kapigwa na mchumba balaa toka saa moja asubuhi ni kichapo tu .

Nguvu zinatokea wapi , ama kweli wazazi wetu walivumilia sana ...
 
Inasikitisha sana na ni bora kama hawapigi kelele tena ,kupigwa ni vibaya dah sijui tufanyaje ,Mungu atufundishe kunyamaza .
Tatizo wanawake huwa tunaongea mno.
Mimi kila nikipita namsikia yupo kuwahadithia mashoga zake kwenye simu mambo ya mume wake..sasa huo ni ujinga.

Masuala yao ya ndani anayatafutia wapambe,si ajabu wanamfundisha mbinu za kivita ambazo zimemcost mwenzao leo kadundwa.

Na majirani tulivyo na roho ngumu tunasikiliza movie kwa mbali,kila mtu yupo kwake,hakuna wa kwenda kushadadia.
 
Hiyo ndo shida mtu si vizuri ueleze mambo yako kwa mashosti ,Ukiwa na marafiki wanaweza kukupa ushauri mbovu sana .

Unawezaje kwenda kuamulia ugomvi usiokuhusu labda kama mngekuwa mnaishi ndani ya fence moja .
 
Hata ndani ya fensi moja sitoki aisee,,nawaacha wauane.
 
Back
Top Bottom