Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ukisikia na hizo kelele za vinono utuambie![]()





Hizo siwezi kuzisikia..
Unataka nazo uzishuhudie?

Ukisikia na hizo kelele za vinono utuambie![]()






Siwezi aisee..Hahaha labda utafute mtu aje kuwasuluhisha .

Maisha hayako fair sasa inakuwaje .Ila haya maisha
Yaani mtu anatoka kukudunda halafu unapenda tena kumpa.
Dah!tutafika Mbinguni tumechoka Sana.
Ingekuwa ndio mchumba aisee mahusiano yanaisha hapohapoMaisha hayako fair sasa inakuwaje .
Huyo ndo mumeo tena labda awe mchumba unaweza mnyima .



Hahaha on the spot
...Mchumba?!!Yaani lazima mtu hapo usitamani siku moja nilipopanga mdada huyo kapigwa na mchumba balaa toka saa moja asubuhi ni kichapo tu .
Nguvu zinatokea wapi , ama kweli wazazi wetu walivumilia sana ...
Yaani mambo ya kutwangana mangumi,mtoto wa mtu anakuja kufanyia mazoezi ya ngumi kwenye mwili wakoHahaha on the spot...
Unaanzaje kubaki kwenye toxic relationship ya hivyo ?


Yaani acha tu mdada wa watu amefunga chuo baada ya mwenda kwao kaja kuishi kwa mchumba wake .
Unashangaa unapata ulemavu kabisa .Yaani mambo ya kutwangana mangumi,mtoto wa mtu anakuja kufanyia mazoezi ya ngumi kwenye mwili wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mimi ungeninyima?



Duh!Yaani acha tu mdada wa watu amefunga chuo baada ya mwenda kwao kaja kuishi kwa mchumba wake .
Nilimuonea huruma aisee
Mapenzi ni upofu .

Kwahiyo mimi ungeninyima?![]()


Wengine tayari tuna vilema,,,fikiria mtu anakutengua na kipondo tena!Unashangaa unapata ulemavu kabisa .
Yaani hii ya kupigwa haifai kabisa ..

Unipige halafu nikupe?
Labda kama umeniroga.
Mapenzi yataisha siku utakayonipiga .
Sent using Jamii Forums mobile app



Me sipendi hii tabia. Nilipanga nyumba 1 hivi (boma la mmasai, dah huyo faza house alikuwa anambutua mke wake hadi sio poa.Duh ndoa kumbe ni ngumu jamani!
Nimestushwa na kelele za vipigo,nyumba ya jirani wanatwangana hatari ..mwanamke anapigwa na bado anaongea huku analia,mara utaniuwa,mara nipige.
Ameachwa ndio anapaza sauti zaidi..sasa hivi nasikia "nipigee"
ana sauti Kali aisee![]()
Inahuzunisha sana , kupiga sio suluhisho Bora mkae chini muongee yashaishe .Wengine tayari tuna vilema,,,fikiria mtu anakutengua na kipondo tena!
Sent using Jamii Forums mobile app