100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,107
- 36,117
baaada ya hapo shule nzima wanakufahamu 😀, unakuwa superstar...Ulitisha Mzee, baada ya hapo wanakupa Salute 👮💪
baaada ya hapo shule nzima wanakufahamu 😀, unakuwa superstar...Ulitisha Mzee, baada ya hapo wanakupa Salute 👮💪
Yes dearDah yaani hata mchana tu nikipita naona Kuna kelele.
Kweli kila kitu kinaenda kwa mazoea.
No 1 2 na 3View attachment 1972988
Lizzy siku ya xmas, tunakata hio cake [emoji115][emoji115][emoji115]
Then kati ya hizi cake hapa chini, nambie ipi umeipenda siku ya BD nikuletee...
1
View attachment 1972990
2
View attachment 1972991
3
View attachment 1972994
🙂
moja tuNo 1 2 na 3
Ukowapi Nije kunywa
🙆♀️Umesahau 2025 ndo anafikisha umri wa kupiga kura
Wewe ndiye Alikiba mwenyewe 😂 si kuelekeana tu.🚶♂️
Kipaji hichoUkishazoea unaona kawaida
Hata hivyo usiku panatulia
ukiwa mtu unayetoka asubuhi na kurudi jioni basi haisumbui
Sasa hivi umenigeuka tena? Tengua kauli ya miaka 21 basi🤣Wewe ndiye Alikiba mwenyewe 😂 si kuelekeana tu.🚶♂️
kwa hiyo umeona incognito tuu[emoji23]
Hapana..Niko late 20s.Naukaribia utu uzima sasaUkiwa na miaka mingiiiii ni 22.
Unaonyesha kuwa ni mrembo sn wa Sura na shepuJumatano ya safari [emoji4][emoji4]View attachment 1972681
Sijui Kwa nn moyo umenidunda paah..zile lips sasa😋😋Touch it 😚
View attachment 1973087
Punget and spicy beef with rice. Hii Menu inapatikana hapo Palm Beach hotel is very delicious- Ina bamia nyingi na sauce ya kichina sijui.Tuonyeshe ulichokula na sie tupate hamu
Hapa ndy nimeshajua km Una miaka mingi basi haizidi 24Touch it 😚
View attachment 1973087
Unaonekana hauzidi miaka 24Touch it 😚
View attachment 1973087