Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

E8B9776F-76D8-4CC6-B952-28AD588D2296.jpeg
 
Kabisa mkuu walitusaidia sana. Walifanya shule iwe rahisi sana

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kabisa, me nilisoma Shule ya Serikali alafu mchepuo wa PCM na kwenye Physics hadi tunaenda Likizo ya Mwezi Septemba ilikuwa tumesoma topic moja ya Projectile Motion tu huku Maths tumesoma topic 4 wakati Mwalimu wa Chemistry alikuwa analikizo ya Kuumwa yaani unajikuta unasema kilichonituma kusoma Advanced level ni nini bora ningeendaga Diploma huko DIT🙆

Kwa kweli jamaa walinisaidia sana kuniboost 👏👏
 
Kabisa, me nilisoma Shule ya Serikali alafu mchepuo wa PCM na kwenye Physics hadi tunaenda Likizo ya Mwezi Septemba ilikuwa tumesoma topic moja ya Projectile Motion tu huku Maths tumesoma topic 4 wakati Mwalimu wa Chemistry alikuwa analikizo ya Kuumwa yaani unajikuta unasema kilichonituma kusoma Advanced level ni nini bora ningeendaga Diploma huko DIT

Kwa kweli jamaa walinisaidia sana kuniboost
Mkuu acha kabisa

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
UKISHA OLEWA JIANDAE KUMWAMINI MUMEO Sometimes ngumu sana kumuelewesha mwanamke jambo flani, iwe kuchelewa kurudi, sms/calls za wanawake and the like

Wanawake mjifunze kuwaamini waume zenu.
Kuna wakati Mme wako anaweza kuchelewa sana kurudi nyumbani na akakupa sababu ambayo huwezi kamwe kuiona kwenye kitabu chochote duniani.
Ruhusu upendo na uaminifu vitamalaki.

Fikiria Yona anarudi nyumbani baada ya siku 3 tangu ameondoka, hakupiga simu, hakutuma ujumbe, wala chochote, ila tu akamwambia mkewe kuwa alimezwa na samaki na kutapikwa baada ya siku 3 - hebu tafakari hilo.

Mke wa sasa anaweza na anataka ampasue hata kichwa.
''Ulimezwa na samaki? Hivi unadhani unaongea na mtoto?
Dharau gani hiyo, kunidanganya mie kama sina ubongo? Samaki gani huyo? Sangara au Sato?

Hata kama Yona angemweleza hayo paroko/mchungaji/shehe ni lazima angemwita faragha na kumwambia:-
"kaka Yona kwa nini usisali na kutubu kuhusu dhambi za uongo?".

Majirani wangesema, "mwanamke mwenzetu ujue samaki huyo ni Mwanamke mwenzio tu"

Lakini kati yangu na wewe, tunajua ni kweli Yona alisema ukweli.

basi wanaume waaminiwe tu jamani.

,

Najua hata hii hamtaamini
 
Ila unaweza hisi ni vitu vya kufikirisha but once upon the time it happened.

Kwa sasa ukitoa sababu za hivyo utajikuta siku moja wamekupetroli
 
Back
Top Bottom