Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni nzuri ,inapendeza na inavutia hata kwa sisi wazee[emoji2] kifua ndio balaa maana yaonekana kimepangwa kikapangika haswaaaa.

Ukijumlisha na huo mtandio ni waaaaooooouuuuuuu mawardat!........beautiful! amazing! marvelous! so cute!!
Asee,sifa zote ni za warda mie[emoji41].......
 
Hahahaha.......ingekuwa ni Kanisani tungetoa shukrani ya Pekee kwa mema tuliyofanyiwa [emoji3] ila all in all akina Mood wametusaidia sana kutimiza ndoto zetu wengi kwa gharama nafuu
Kabisa mkuu walitusaidia sana. Walifanya shule iwe rahisi sana[emoji28]

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom