Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
[emoji38]Kiba yupi tena [emoji1787][emoji1787] me naona anaelekeana sura na Peter wa Royal Village Dom [emoji23] hakiii vile.
[emoji38]Kiba yupi tena [emoji1787][emoji1787] me naona anaelekeana sura na Peter wa Royal Village Dom [emoji23] hakiii vile.
Unaishi tena ni raha sanaDuh[emoji38]
Nawaza kariakoo watu wanaishije na zile kelele.
Kwa zile kelele za KARIAKOO[emoji849]Unaishi tena ni raha sana
Nakumbuka nilikaa hostel maeneo hayo .
Ikifika saa usiku mnatoka kununua chakula pametulia .
Aisee mmenikumbusha mbali sana!Kweli umri unasonga, ni zaidi ya miaka 18plus saivi imepita.
Sina uhakika kama yale mapindi bado yanaendelea though kuna uwezekano saivi wamekuja damu mpya kuendeleza walipoishia akina Mood
Safari ya wapi?Jumatano ya safari [emoji4][emoji4]View attachment 1972681
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1972786
Ukishazoea unaona kawaidaKwa zile kelele za KARIAKOO[emoji849]
Mimi nadhani siwezi kuweka makazi pale.
[emoji41]Mwanza hii.
Dah yaani hata mchana tu nikipita naona Kuna kelele.Ukishazoea unaona kawaida
Hata hivyo usiku panatulia
ukiwa mtu unayetoka asubuhi na kurudi jioni basi haisumbui
[emoji41]Asavali[emoji38]