Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
IMG_20211012_173736_9.jpg
 
Ni kweli mtumishi mwenzangu.

Sijakuwepo kwa muda kidogo.

I was grieving the loss of one of my much-loved & treasured compatriots.

Endelea kuniweka kwenye maombi mama mtumishi.

Mungu ni mwema sana.
Oh pole sana Mtumishi.
Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu katika kipindi kigumu unachokipita,,faraja Yake Mungu ipitayo zote ikufariji moyo wako .

Sorry for your loss .
Alikuwa ni nani huyo????Naomba uniambie kama hautajali.


Nikasema Baba Mtumishi kweli amekaa kimya siku zote hizi bila hata kunijulia hali Mimi Mama Mtumishi!
 
Back
Top Bottom