Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

"Kabinti kadogo? Mkuu I'm a woman with two beautiful kids

Hiyo picha ya zamani kidogo.

Ulivyonifikiria ndiyo nilivyo

Vipi wewe?
Idadi ya watoto haina uhusiano na umri wa mtu ..wengine wanawahi kuzaa wengine huchelewa..Nina uhakika upo late 20s

Camera ya simu uliyotumia ni camera iliyoboreshwa so picha si ya zamani km ulivyoniaminisha

Mimi niko late 70s

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Camera iliyoboreshwa inapimwaje?

Niko katikati ya 30s, serious.

Late 70s uringe? Nina hakika nimekuzidi, kama sio weka picha ni'prove.
 
Camera iliyoboreshwa inapimwaje?

Niko katikati ya 30s, serious.

Late 70s uringe? Nina hakika nimekuzidi, kama sio weka picha ni'prove.
2016 kurudi nyuma ni nadra kukuta camera inapiga picha Kali Kama hiyo😁..hii picha haizidi miaka miwili au mitatu nyuma

Kuhusu kukuzidi umri hapana..wewe ni mjukuu wangu kabisa na hao wanao ni vitukuu
 
Alafu kuna siku nikitoka kuwa lakionaire na kuwa millionaire watasema Lizzy anaringa wakati kukesha nakesha mwenyewe 🥴🥴🥴
20211012_230028.jpg
 
Back
Top Bottom