Hehe mimi ni Simba na Liverpool
duuuh...all the bestHehe mimi ni Simba na Liverpool
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nitakua na maisha marefu inshallah , no ID mpya nipo na hile hile [emoji1787][emoji1787][emoji1787], hivi Karma wewe unazo ID ngapi?Duuh we jamaa leo tu nimetoka kukuwazia nikajiuliza hivi huyu kijana kapotelea wapi siku hizi, au usikute kashabadili Id naingia huku nakukuta.
Au arsenaleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wana simba unakuta ni Man u au Liverpool.... Kuna kitu kinafanyika kispirit kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Sijui kwanini wabongo wengi ukikuta ni shabiki wa Yanga, basi kwa timu za Uingereza lazima tu awe shabiki wa Chelsea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaniharibia unclee wangu unataka awe mlaini kama wewe [emoji23][emoji23][emoji23], ngoja aanze ratiba za kupiga soccer [emoji460].. Kuoa ataoa tu sababu ni nyingi tu za kuoa na haziishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hutaku uncle ajifunze jamani??? Au unataka aje aoe kisa tu mtu wa kumpikia??[emoji15][emoji15]
Uje umchukue though. ...ubalansishe nisije nikaamza kumfundisha mpaka kukuna nazi.[emoji85][emoji85]
Unaonaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehe mimi ni Simba na Liverpool
Hakuna kitu hapa. Utaishia kujaza maji tumboni tu. Afadhali Balimi zangu [emoji16][emoji16][emoji2099]
Jizazi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8]
Low cut[emoji176]
Usinisahau hiyo siku ikifika ankoMimi niko tayari kabisa