And a father.......a protector, a leader, a provider.
Hakika[emoji176]
Inabidi uanzishe.Halafu hatuna mada ya MAMA itabidi tufanye maarifa
Ulinini kwani?Nimerudi rasmi kwenye jukwaa baada ya 'burn' ya siku saba[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1937113
Duuuuuu
[emoji7][emoji7][emoji7]
Mimi nywele zimejaa kichwa kizima hakuna style Nimeweka.
Ni gari ilipnguza speed au ilikuwaje, aisee hatari sana,
Nimejibu kwenye posti namba 107,442 katika uzi huu ambapo ni posti ya tano kutokea hapo uliponiquote.Ulinini kwani?