Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Zna anzia 100k mkuu...Bei zako zipoje?
NitakaribiaZna anzia 100k mkuu...
Nashukuru Mungu alinipa kigoli wangu,binti wa ujana wangu,mama wa wanangu,tusukuma umri wetu pamoja.Hongera. Natumaini mamsap ako nayo...
Tukuone mkuu.
Huyo uwa analike mpaka matusi 🤣za mimi fresh....imagine salamu ya mambo mkwepj kalike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hope ww ni mzima Depal
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hapa hata ukiweka nukta ina pewa like !Huyo uwa analike mpaka matusi [emoji1787]
Me mzima. Mapya?
mapya mawiliHuyo uwa analike mpaka matusi [emoji1787]
Me mzima. Mapya?
Simjui... Tumuulize Valentina ndio alinitumia hiyo picha.mapya mawili
kwenye avatar huyo ni nani??
la pili umenunua jez mpya ya simba yako??.....nyongeza naenda kupindua meza nigeria....lastly nimekumiss
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
nimezoom dimpoz nikajua ni ww....chuga kutamu sana hasa ukiwa na hela mimi hela zimeisha nimerud dar.....but i miss chugaSimjui... Tumuulize Valentina ndio alinitumia hiyo picha.
Sijanunua jersey aisee. Nipee zawadi basi... Pindua tukuone [emoji1787][emoji1787]
Umemissika pia. Tokea uende chuga umekuwa adimu hapa..
Nimeipenda Jersey ya Team Viewer [emoji23] niombee ili pepo lisiniandame maana sioni mwisho mzuri kabisa.
Numbisa nakusalimu Team viewer
Aliyenitumia pia alinambia the same 😂 Chuganian pako bien, karibu tena.nimezoom dimpoz nikajua ni ww....chuga kutamu sana hasa ukiwa na hela mimi hela zimeisha nimerud dar.....but i miss chuga
kumbe ww ni man u fan[emoji25][emoji25][emoji25] huzuni.....jez ya simba vunja bei utapata ngoja nile mkeka this weekend
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
tuchel fo everibade.......Aliyenitumia pia alinambia the same [emoji23] Chuganian pako bien, karibu tena.
NO, nimependa tu zile new Jersey. Mimi ni mtoto wa Thomas Tuchel...
Wee ngoja tuuombee mkeka na muhindi [emoji23]