Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Home sweet home green city



Naomba kipande kimoja boss wanguOne man army weekend vibe...View attachment 1943622
Yeah simaanishi awe mbabe hadi kwa familia yake hapana, ila anatakiwa awe mbabe kwa wale wanaomletea uonevu tu.Inabidi kwakweli!!!
Otherwise ataonewà sana...hata ukubwani.
Ila pamoja na ubabe bado ni muhimu his sensitive side ibaki pale pale...
Karibu sana Saint AnneNaomba kipande kimoja boss wangu
Naja kukusaidiaOne man army weekend vibe...View attachment 1943622
Karibu mkuu, nikuandalie kinywaji gani?Naja kukusaidia
Asante bossKaribu sana Saint Anne
Mikocheni mkuu, uko wapi?Asante boss
Nipe location
Mbali mnoMikocheni mkuu, uko wapi?

Achana na kuwa hot jirani nijibunkwanza
Ulipotelea wapi