Kiukweli mi kukasirika humu nakasirikaga sana tu ila ambacho sitaki ni kumewekea kinyongo mtu nisiemjua akinikwaza zaidi namalizana nae pm ikigoma namuignore na sitajibu chochote kwake na ikitokea akanifurahisha pahala nagonga like natembea
Ila kubishana sana kama wewe humu niwe honest siwezi mara nyingi nikiona mtu kanizidi nampa ushindi naamsha popo,,
maisha magumu huku kitaa na humu napo iwe hivyo booooh hapana tusifikishane huko