Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Lakini unguja kaskazini,sijui mjini magharibi na blah blah nyingjne zote zipo ndani ya kisiwa Cha Unguja..si Ndiyo?Kijiografia ni kisiwa kimoja ila kiutawala ni mikoa mitatu tofauti kuna Mjini Magharibi, Unguja Kaskazini na Unguja Kusini ndani ya kisiwa kimoja
Visiwa vya Zanzibar vinajumuisha mikoa mitano ambayo ni Mjini Magharibi, Unguja Kaskazini, Unguja Kusini, Pemba Kaskazini na Pemba Kusini
Sasa Mjini Magharibi na Unguja Kaskazini na Kusini kijiografia ni mikoa iliyoungana kwenye kisiwa kimoja wakati Pemba Kaskazini na Kusini ni kisiwa kilichojitenga peke yake lakini hivyo visiwa vyote kwa pamoja vinaitwa visiwa vya Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app








