Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_6358.jpg
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Kwa mahesabu ya haraka haraka hizo ni kama $40,000 siyo

Daah ila pesa yetu iko chini na haina thamani kabisa

Yani M90 zetu na ushee kwa hela yao unatembea nazo zikiwa katika vibunda vichache kama hivyo

Sisi zetu ni hadi utie kwenye briefcase/bag au ufungashe hadi watu wanakushitukia ulichobeba
 
Ukienda Bank kuchange unarudi na mzigooo[emoji1787] , sasa omba usipewe elfu tano tano[emoji3].

IMG_9714.jpg
 
Hivi ni kwa nini Karma huwa haguswi linapokuja suala zima la kudai watu picha?Nashauri tuanze kwa pamoja kutumia zile mbinu zako za medani kumbana Karma aweke picha[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji38] huyo ana picha nyingi mno humu ndiyo maana simdai.

Huwa nawashawishi wale ambao hawajawahi kuweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom