Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ila ile Kumbe nilidownliad.
Hivi ndio naiona kwenye gallery.
Ngoja niangalie vizuri dada mzuri mweupe
Sent using Jamii Forums mobile app
wee niliwaingiza chaka sio mimi yule
Ila ile Kumbe nilidownliad.
Hivi ndio naiona kwenye gallery.
Ngoja niangalie vizuri dada mzuri mweupe
Sent using Jamii Forums mobile app
wee niliwaingiza chaka sio mimi yuleAiseeeHope umeridhika, sasa nione ya kwakoView attachment 1927073

Ila mtakatifu una ushawishi weweUlitaka mkono tu mamii saiz unataka na macho,duuh
Umeona ehee yuko na ushawishi mkubwa sana,usikute shushu anataka kutuchomesha aiseeIla mtakatifu una ushawishi wewe
Umeona ehee yuko na ushawishi mkubwa sana,usikute shushu anataka kutuchomesha aisee
(Natania tu)

yaniiZangu zipo nyingi Sana.Ulitaka mkono tu mamii saiz unataka na macho,duuh
Zako ziko wapi?
Hahahaayanii
Mkuu jicho ama macho,hebu nitagi moja nione tafadhali
Umeona ehee yuko na ushawishi mkubwa sana,usikute shushu anataka kutuchomesha aisee
(Natania tu)


Ukipitia comments zangu au replies zangu za leo, utaona nilikuwa namtag Valentina kwenye picha zangu.Mkuu jicho ama macho,hebu nitagi moja nione tafadhali
Nimepukua jamvi lote sijaona hata pic moja yenye sura yako.
Nina picha nyingi humu kama utitiri.
Mimi ni mdau mzalendo wa huu uzi,nahamasisha watu kuselfika kama uzi unavyotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mkuu.Nimepukua jamvi lote sijaona hata pic moja yenye sura yako.
Nimeona snaps za maakuli tu,nimejikuta nasikia njaaUkipitia comments zangu au replies zangu za leo, utaona nilikuwa namtag Valentina kwenye picha zangu.
Naomba kuona macho mkuu,ikiwezekana sura nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ni-tag hata moja, na ku promise naweka yangu yenye macho unayotaka.Acha uongo mkuu.
.picha zangu zimejaa humu,
Muulize Mshana atakuambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umeangalia picha za hivi karibuni.Nimeona snaps za maakuli tu,nimejikuta nasikia njaa
Sawa.Hebu ni-tag hata moja, na ku promise naweka yangu yenye macho unayotaka.