Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Ongeza nguna kg ikifika 70 unastop.
Ongeza nguna kg ikifika 70 unastop.
70 nitatisha.Ongeza nguna kg ikifika 70 unastop.
Seems you like music Roger, what's is your favorite thing about music?'/ Your future looks better than your past if you're present with the man /'
View attachment 1364839
Beef +samaki+maharage+binsi +green vegetable +wali+pilao.
Kwanini unakonda Anne?.
Hii miezi Mambo yamechanganya..Kwanini unakonda Anne?.
Pole sana, maisha yana kona kona nyingi sana. Hayajanyooka.
Yah,maisha Yana stress.. unafanya hili unadhani umemaliza Mara linakuja lingine.Pole sana, maisha yana kona kona nyingi sana. Hayajanyooka.
If there's anything I can do to help, PM me Miss.
Seems you like music Roger, what's is your favorite thing about music?
Pole sana, maisha yana kona kona nyingi sana. Hayajanyooka.
If there's anything I can do to help, PM me Miss.
NitakwambiaYah,maisha Yana stress.. unafanya hili unadhani umemaliza Mara linakuja lingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani nilifikiri nikikua au nikipata kazi au kufanikisha jambo flani, maisha yatakua raha mustarehe.
Nilichojifunza maisha ni kukabiliana na changamoto, tunatofautiana tunavyozipokea na kushughulika nazo.
Uwezo wa kuhimili na namna ya kukabiliana nazo ndio inatutofsutisha kati ya mtu na mtu.
Siku ukifa ndio unapumzika moja kwa moja.






Kuna nyingine zinakuja unaweza hisi zipo nje ya uwezo wako.
Ndiyo,kufa Ni kipimo Cha kumaliza kutumikia kusudi tulilopewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenWalioenda shule wanasema ikiwa hiyo changamoto haiondoi uhai wako, inakuimarisha zaidi.
Pole kwa kipindi unachopita.





.. Wewe Ni rafiki mzuri.Amen
MUNGU anajua namna ya kuiondoa..ndiyo maana ameruhusu ije
Asante kwa faraja.. Wewe Ni rafiki mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu kwetu Ni rafiki.Ahsante, lakini kwangu rafiki bora wa wakati wote ni Yesu Kristo.