Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Tamu sana hizo karanga zikipikwa alafu ukila na matooke au viazi vitamu.
Tamu sana hizo karanga zikipikwa alafu ukila na matooke au viazi vitamu.
Tamu sana hizo karanga zikipikwa alafu ukila na matooke au viazi vitamu.
Huo mwili ndo mzuri,ukishakua tipwa tipwa unakua kwenye hatari ya kupata magonjwa nyemelezi.
Huo mwili ndo mzuri,ukishakua tipwa tipwa unakua kwenye hatari ya kupata magonjwa nyemelezi.
Umenifanya nigeuze simu.
Huu mdogo mnoHuo mwili ndo mzuri,ukishakua tipwa tipwa unakua kwenye hatari ya kupata magonjwa nyemelezi.
Hahaha..vinbaombao tunafarijiwa vizuri.I say, closer to the bone, the sweater the meat...mkuu upo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaah, hapo sijageuza lisimu langu. Je kwa wembaba wako unaweza kuhesabu mbavu zako kwa macho? Je unamasoap dish kwenye mabega?
Soap dish zimekuja huu mwaka.. January ilikuwa ngumu hahahaha..Ewaaah, hapo sijageuza lisimu langu. Je kwa wembaba wako unaweza kuhesabu mbavu zako kwa macho? Je unamasoap dish kwenye mabega?
Sasa unakonda kwa mawazo au unapiga pasi ndefu au huli kabisa au kuna "lishe" fulani hupati au ndo asili ya mwili wako?Soap dish zimekuja huu mwaka.. January ilikuwa ngumu hahahaha..
Mbavu nadhani hazihesabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaSasa unakonda kwa mawazo au unapiga pasi ndefu au huli kabisa au kuna "lishe" fulani hupati au ndo asili ya mwili wako?
Mimi nina asili ya wembaba hata nikila mchemsho kila siku na chapati nane bado mbavu zinahesabika![]()
Nipo mkuu wa kazi nimerudi chamani.
Mwili unaendana na age,Kama una miaka 20-28 huo ndo mwili unaokufaa but Kama una 30+ japo najua hauna ongeza ongeza ugali ukue mkubwa.Huu mdogo mno
Too much is harmful...mapambano ya mwaka mpya SI mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi niongeze ongeze ugaliMwili unaendana na age,Kama una miaka 20-28 huo ndo mwili unaokufaa but Kama una 30+ japo najua hauna ongeza ongeza ugali ukue mkubwa.
