Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
NdiwoooTena[emoji44][emoji44]
NdiwoooTena[emoji44][emoji44]
Kweli tenaTena[emoji44][emoji44]
KhaNdiwooo
Jirani yangu anayo mwambie akurushie[emoji22]Kweli tena
Si uliona nilipotea,
Nilibanwa mno hata sikuona vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweee [emoji134][emoji134]Jirani yangu anayo mwambie akurushie[emoji22]
[emoji23] Shemeji yako kanikataza kurusha picha humu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] Shemeji yako kanikataza kurusha picha humu
Mbona kama unatusanifuMad Max nimekula [emoji851]View attachment 1926905
Mimi najipiga picha ya kazi gani sasa? Labda kwa matukio muhimu kama passport size...
Watu mna masihara sana.. 🤣🤣🤣Mad Max nimekula 🤓View attachment 1926905
Nimekumind mkuu! Serious sijapenda ☠Zile zinazoanza na 07....au 06...Ila tuma inbox yangu tu nikupe hi.
Weka hata mkono mkuuMimi najipiga picha ya kazi gani sasa? Labda kwa matukio muhimu kama passport size...
Usijal kesho nitapiga kwa ajili yako,wewe ni wa muhim pia
[emoji38]Holy Man huu msosi kwenu Mbalali anakula mtoto wa umri gani?
Why jamani???😳Mbona kama unatusanifu
Unatakà nile sawa na wewe mtoto wa kiume?🙄🙄Watu mna masihara sana.. 🤣🤣🤣
Sawa
Hope umeridhika, sasa nione ya kwako