donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Running outta supply....[emoji28][emoji28][emoji28]
Hili jina hujalibadilishaga tu?
Hili jina hujalibadilishaga tu?
Lina maaana gani?Yaani hili halitabadilika tena lizoee tu [emoji1787].
Lina maaana gani?
Khaaaah!!Maana yake (Rich and Handsome) [emoji41].
Nakusalimia mdada mpole[emoji2772][emoji2772][emoji2772]
Khaaaah!!
Naomba sungura mkuu
Naomba sungura mkuu
Daaah nimewaelewa sana Hilo chimbo liko wapiHahaha, sio wa kwangu mkuu, Hawa wapo hapa The Market Cafe wanajichanganya na wateja.
View attachment 1923637
Daaah nimewaelewa sana Hilo chimbo liko wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tulikaa seat moja...[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1923646
bye bye Dom
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tulikaa seat moja...[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kalumbu seat ya nyuma ako alikuepo mkaka mmoja alikua na madevu mengi sanawakati wa kwenda nilikaa na mbibi, leo nimekaa na mdada[emoji2957][emoji2957]
Asante mkuu wa kuselfisha ndoo na mkono.