Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka pic nione[emoji3166]
Huniamini?[emoji1787]
ISO M.CodD muwekee mchumba wangu ile picha ulipiga kwa simu yako
IMG_20210807_195935_8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah [emoji23]
Mchumba wangu wewe ni katibu mbobevu mfawidhi katika kitengo cha uchambuzi wa pombe.

Yaani umeitambua pombe ikiwa kwenye glass bila kuona chupa Yake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3].
Ni yenyewe.


Naomba bia mchumba[emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] njoo uchukue mchumba!
 
Nakunjaje wakati sina hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pombe soon nakunywa.
ISO M.CodD atakupa feedback..
Ila wanywaji mna upendo aisee,,hamkati tamaa[emoji23][emoji23][emoji23]na hamumuachi mwanafunzi ashindwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nawashangaa mnatafuta waume kanisani. Husband material utampata bar au grocery
 
Back
Top Bottom