Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,597
Hahahaha fika hapa cape town fish market then nichek hii dhambi tuipate woteshare location. utamu wa motoni tuwe wengi.
Hahahaha fika hapa cape town fish market then nichek hii dhambi tuipate woteshare location. utamu wa motoni tuwe wengi.
Lisaa limoja mbele nateka mtu naenda nae lindo Fanya haraka mkuushare location. utamu wa motoni tuwe wengi.
Dah kamera yangu mbovu hadi chakula hakitambulikani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nini hiki?
...Dah kamera yangu mbovu hadi chakula hakitambulikani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wana selfika nichangieni hela ninunue tecno ya laki.
Ni ugali mkuu na dagaa za karanga na parachichi na yai la kitunguu kingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lala ukue binti
😃😃
Yaani kuna watu bila kupigwa matukio ya hapa na pale; hamjisikii amani kabisa mweeeeh😆😆😆Naona Heaven Sent ana kila dalili za kuwa kungwi katika hili [emoji23] atuelezee
Maisha ni matukio mkuuYaani kuna watu bila kupigwa matukio ya hapa na pale; hamjisikii amani kabisa mweeeeh[emoji38][emoji38][emoji38]
Maisha ni matukio mkuu
Watu wanapenda changamoto na ku solve problems. Kuna ile feeling ya kuwin tamu sana. Hekaheka zina raha yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bila moyo kushtuliwa kidogo, hujisikii poa
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Watu wanapenda changamoto na ku solve problems. Kuna ile feeling ya kuwin tamu sana. Hekaheka zina raha yake.
Nakusalimia mdada mpole🖐️🖐️🖐️Bambalaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kuna watu bila kupigwa matukio ya hapa na pale; hamjisikii amani kabisa mweeeeh[emoji38][emoji38][emoji38]