Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Nilikuwa Mars [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikuwa Mars [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi niliwaza tu kuwa utakuwa ulienda zebaki sijui jupita kwa mguu..maana ulipotea mno.Nilikuwa Mars [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Khaaaah!!
Haya bwana![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio hivyo.
Fanya uje kujionea mwenyewe sasa 🙂Picha hizi sisi wa mkoani tukiziona basi tunapagawaaa tunajua Dar pako kama New York.
Simply Fresh 👏🏽👏🏽Hahaha, sio wa kwangu mkuu, Hawa wapo hapa The Market Cafe wanajichanganya na wateja.
View attachment 1923637
Shem darling unapotea sana
😁😁😁😁 My to go to nikiwa nataka maximum comfort......na nnavyolionea sasa 🙄🙄
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Maana yake (Rich and Handsome) [emoji41].
#MwengeByNight
View attachment 1923922