Pole mkuu pambana na wewe uwe siku mojaHahahaha asee jf si mchezo watu wanakula bata humu balaa
Inaonekana ktk huu Uzi kapuku niko pekee yangu .wengi wakishua humu
‘Mkate wetu’ uko wapi sasa?Karibuni late lunch View attachment 1904778
Anko Juju nimekumiss sana.‘Mkate wetu’ uko wapi sasa?
Hey you…nilikuona siku ile umekaa kwenye kona. Nikaziona na nywele 😉😀Anko Juju nimekumiss sana.
😃😃😃😃😃😃😃. Unanichuuza hadi mimi kweli?Hey you…nilikuona siku ile umekaa kwenye kona. Nikaziona na nywele 😉😀
Inabidi twende Arusha 😉‘Mkate wetu’ uko wapi sasa?
Umependeza.
........sawaHahahaha asee jf si mchezo watu wanakula bata humu balaa
Inaonekana ktk huu Uzi kapuku niko pekee yangu .wengi wakishua humu
Hutulii kama popcornKwa uwaifu material ulionao hata Bibi yako angeridhia uwe bi mdogo wake.
Sasa na Uzee huu nilionao hata Babu mwenyewe anaamka kwa mwaka mara moja nitakupeleka wapi Mimi, ngoja niwaachie vijana tu🙊🙈🏃🏻🏃🏻
Happy Sunday jirani
Shem darlingEasy sundayView attachment 1903100
Amini usiamini Lizzy unamakusudi mno.we hay🥺🥺