Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
😁😁😁🙈Amini usiamini Lizzy unamakusudi mno.we hay🥺🥺
Na wewe ni mpenzi mlaji kumbe??🤗 Nshazoea watu wanayakandia tu 🥴🥴
😁😁😁🙈Amini usiamini Lizzy unamakusudi mno.we hay🥺🥺
Nipo njiani nakuja kukuomba msamaha baada ya kukuzingua kwenye ule uzi wa vyakula jana😁😁😁Umependeza.
Hili gauni nitakuja kuliomba.
Na litakupendeza sana ulivyo modo 🤗Umependeza.
Hili gauni nitakuja kuliomba.
Izi picha zako hiziNipo njiani nakuja kukuomba msamaha baada ya kukuzingua kwenye ule uzi wa vyakula jana
View attachment 1905953


Ni gari yangu hiyo mkuu😁😁😁Izi picha zako hizi![]()
Hujambo wewe?Ni gari yangu hiyo mkuu😁😁😁
Sijambo mkuu,uko wapi nikupitie nikupe lift?😁😁😁Hujambo wewe?
Nitatuliaje na umenipiga kibuti? Mtoto nuksi kweli weye, yaani kujibebisha kote kule nimeambulia patupu🙈🏃🏻Hutulii kama popcorn
Nimekumiss zaidi , lizzy kama lizzy msalimie mwanangu atakua amekua huyo, ukipika chapati nistue
Nipo njiani nakuja kukuomba msamaha baada ya kukuzingua kwenye ule uzi wa vyakula jana
View attachment 1905953





