Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Watoto wa 2000s ni kama walizaliwa na mbolea![]()
Njoo umuone mdogo wangu 'My Jakiii Saint Anne View attachment 1902268

Ana shepu.
Watoto wa 2000s ni kama walizaliwa na mbolea![]()
Njoo umuone mdogo wangu 'My Jakiii Saint Anne View attachment 1902268

Tupo wote mkuu.Hahahaha asee jf si mchezo watu wanakula bata humu balaa
Inaonekana ktk huu Uzi kapuku niko pekee yangu .wengi wakishua humu
We mtoto popo ka mimi ulali?Tupo wote mkuu.
Hiyo kamba iliyochomoka vipi Anne inaonekana kama kamba ya bukta ndani?
Siyo wewe huyu.Mimi mlinziView attachment 1902390
Ni ya suruali brotherHiyo kamba iliyochomoka vipi Anne inaonekana kama kamba ya bukta ndani?
Ni nani Sasa?Siyo wewe huyu.

Nimezoom kaki ilivyobana paja wewe ni kembamba.Ni nani Sasa?![]()
Wala haijabana.Nimezoom kaki ilivyobana paja wewe ni kembamba.
Vimbaombao!😁😁😁Wala haijabana.
Imepwaya Sana tu.
Halafu si Kuna small size kwa ajili yetu vimbaombao.
Uzee mbaya sanaa jamani huwezi amini naona miguu mingi halafu imegeukiana ajabu picha ya mtu mmoja


Kweli we ni babu.... Kiatu changu na cha mtoto wangu.Uzee mbaya sanaa jamani huwezi amini naona miguu mingi halafu imegeukiana ajabu picha ya mtu mmoja![]()
Tumwabudu Mungu
Tupo wote mkuu.