Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210822_131353.jpg
 
Hizo wifey materials umezipimaje babu G?

Wazee wazuri sana 😍 🤗
Mwenzio nimeishi miaka mingi jirani, yaani kwa uzoefu tu huo uwaifu material umekujaa hadi unafulika, I wish ningekuwa na hizo nguvu nikumiliki mwenyewe🙈

Sijui namimi napata hizo sifa licha ya kusimama mara moja kwa mwaka tena kwa kutumia usaidizi 🙊😜🤸🏽🏃🏻🏃🏻
 
Umeifuta? Niliona zile lips [emoji85]

Zinafaa kwa matumizi ya bin'adam...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Noma sanaa. Fafanua kuhusu matumizi ya Binadamu please .
 
Back
Top Bottom