Siku hizi jf kuna mambo ya votes kweli nimekua mgeniNAOMBA MNIPIGIE KURA KWENYE ANDIKO LANGU HILI HAPA PLS JAMANI WAPENDWA ILI NISHINDE INGIENI KWENYE JUKWAA LA STORY OF CHANGE BANDIKO HILI HAPA CHINI PLS
![]()
SoC01 - Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu
JE, UNASITA KUFANYA KITU TOKANA NA WASIWASI NDANI YAKO? Hofu/mashaka/ wasiwasi unatufanya tusiendelee mbele na unatudumaza tunabaki vilevile tungali masikini na unaleta umaskini ndani yetu na kubaki vilevile tu bila hata kudhubutu kutenda jambo kuu katika Maisha yetu. Tufanye nini sasa iili...www.jamiiforums.com
Wewe ni depal, nalo lina maana gani ?Niliona vingi.
The name has no meaning ila lilitokea from my real name. Kuna mtoto hawezi kutamka jina langu anaishia kuita tu Antii chilita
Kwamba Chilita anaweza kuwa @DepalWewe ni depal, nalo lina maana gani ?
Chilita= Prisca
Ndio mkuu Ungeweza ku'mention wote wawili kwa pamoja ingekua sio hivyo.
De...Wewe ni depal, nalo lina maana gani ?
Chilita= Prisca
Nilijua unaniektia 😂 kumbe kweli ulikuwa njia panda?
Umemjibu kisanii 😂Ndio mkuu Ungeweza ku'mention wote wawili kwa pamoja ingekua sio hivyo.
Ni hivyo hata Quote yako tu ina verify unachosema
Ufufukile?Siku hizi jf kuna mambo ya votes kweli nimekua mgeni
Haha..unakumbuka kuna siku uliweka picha ya shavu(dimpozi)nikaandikaNilijua unaniektiakumbe kweli ulikuwa njia panda?
Hahah.

Ina maana we unakariri dimplez za watu 😂 lioneHaha..unakumbuka kuna siku uliweka picha ya shavu(dimpozi)nikaandika
Hizo dimpozi kama nazifananisha vile....![]()
Kama ni muendelezo wa herufi de.... pal...., Hapana sifahamuDe...
Pal....
Ninaimani unayajua, utakuwa unajua na maana.
Unpleasantly !? 😀Umemjibu kisanii 😂
Kwanini mpendwa? Hahaaa
De.. The ' hujui hivyo vifupisho? Au wataka kujitia mzee sana? ( de- the, dis - this, doz - those nk.Kama ni muendelezo wa herufi de.... pal...., Hapana sifahamu
Hehe make guglii 'google yo friend. 😂Kama si hivyo pal sijui ni nini
Oh no...Ila kibabe flani hiviUnpleasantly !?
. SM Management?