Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maisha yako ya miaka ijayo yataamuliwa na maamuuzi yako ya sasa. Tuendelee kupambana
20210820_103425.jpg
 

Namaanisha kutwa nashinda stand kuuza karanga.,akipita mchana atanikuta,ndio mitaa yangu ya kujipatia Mia mbilimbili za karanga.
Si kwamba nauza karanga usiku.
Business idea; usiku watu wanarudi nyumbani au hotelini kupumzika na kukutana na wenza....wanahitaji energy booster. Usiku ndio mda sahihi wa kuuza karanga zenye energy booster
 
Back
Top Bottom