de nafahamu lakini de... sikuweza kujuaDe.. The ' hujui hivyo vifupisho? Au wataka kujitia mzee sana? ( de- the, dis - this, doz - those nk.
Tayari, Ina maana mshakaji au Mwana hivi.Hehe make guglii 'google yo friend. 😂
Oh no...Ila kibabe flani hivi
Management imesema nikuambie, "Request denied."😁Fram ya katikati naomba kupiga Chabonkuna kitu nimeona. SM Management?
Hahaha kula 5.de nafahamu lakini de... sikuweza kujua
So unawezaje kujua si mzee mimi !?!
Tayari, Ina maana mshakaji au Mwana hivi.
de pal / depal
Hii topic yako ni nzuri sana.wadau naombeni KURA ZENU kule jukwaa la stories of changes pls nawaomba akina Mshana Jr daddy Watu8, figganigga , Madame B , sosoliso , Bujibuji, Saint Anne , Saint Ivuga , Khantwe, REAGAN C.MABOGO snowhite na wadau wengine wa zamani na wasasa psls nipate kushinda ANDIKO LANGU LINASEMA "ONDOA HOFU ANZA SASA KUTHUBUTU "
Waweza nitext mkuu.Huko ni mbali.. Anyway hit my pm for good
Asante mkuu kwa wazo zuri.Business idea; usiku watu wanarudi nyumbani au hotelini kupumzika na kukutana na wenza....wanahitaji energy booster. Usiku ndio mda sahihi wa kuuza karanga zenye energy booster
Ngoja na mimi nitupie guu langu,kwani nini iwe wewe tu.Maisha yako ya miaka ijayo yataamuliwa na maamuuzi yako ya sasa. Tuendelee kupambanaNView attachment 1899404
Uwiiiiiiiiii!!Kazuri haka😍😍
Kwahiyo unatukomoa tusio ona bila miwani eeeh.Ndiyo jana uliiona au?![]()


Ngoja nitafute Kiko changu nivute ugoro kwanza mjukuu wangu.Bi'baba... Long time no see you.Umependeza bidada
Huyu anamfaa Behaviourist
Hahaha hebu tuone hapo miwani inakaa.Kwahiyo unatukomoa tusio ona bila miwani eeeh.
Haya na hiii nyingine ndo yako tena!
Ngoja nitafute Kiko changu nivute ugoro kwanza mjukuu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chura hamna hapo. Behaviourist anapenda vyura 😂Huyu anamfaa Behaviourist
Chura hamna hapo. Behaviourist anapenda vyura 😂
Management imesema nikuambie, "Request denied."![]()
Duh, Nishabaniwa. Siku nyingine napiga chabo vizuri nisihangaike kuomba tena.