Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa. Natamani saa zingine nisiwe mbishi ila nashindwa.
Juzi nimekaa na wababa wazee kabisa nilibishana nao hao. Nahisi walivyoondoka pale walinisema sio kwa ubishi wangu halafu nawapa na facts sio nabisha tu.

Siku nyingine nilishawahi kubishana na wengine kuhusu siasa yani bar nzima wakakaa wanatusikiliza

Tuache tabia ya ubishi sio nzuri
 
Wewe mwanaume mwenye tabia za kike narudia tena UNIKOME. Sikujui hunijui unaanzaje kuniongelea ufala?

Kwanza sipendagi mazoea na mashoga tuheshimiane tafadhali.
Tapeli nilikutapeli wewe? Kwanza hela huna nakutapeli mambupu au? NIKOME
mama naona sasa unataka kujiharibia CV yako ya kutokula ban tangu ujiunge JF
 
Uncle acha uzi uendelee in peace...huu uzi una wafuatiliaji wengi kuliko wanaochangia(nikiwemo mie)

Tuenjoy na picha chache zinazotumwa
Nimetoa angalizo tu watu wawe naye makini.

Hata dini inatufundisha tukiona jambo baya tuliondoe kwa mkono, kama si kwa mkono tulikemee, kama sio kukemea tujiepushe nalo.
 
Achana na huyo takataka. Halafu sijui nilimbebea bwana. Maana kanikalia kooni utasema nashea nae. Nishamwambia asinizoee ila akiniona tu genye zinampanda.
Na hata kama natapeli nishamwambia natapeli wenye hela sio maskini kama yeye
hahahahaha tabia za Aina hii sio poa kabisa kwa ME.
Usiwaze nafahamu fika mambo ya watu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…