Nakuja kamili gado.. Kama komando kipensi

Ahsante kwa ufafanuziMbinga ni wilaya iliyopo mkoa wa Ruvuma
Songea.....mbinga.....Nyasa/mbamba-bay
Oooooh! Ahsante.Ni vigumu sana kumtambua mtu mchawi ..labda uishi naye kwa muda mrefu kuna vitabia na viashiria vitakupa mwanga
Kipindi tunakua hasa vijijin kwetu tulikuwa tunasikia hii familia wachawi....hii wanakula watu (wafu) hii sijui walozi .. sijui ilikuwa kweli?Ni vigumu sana kumtambua mtu mchawi ..labda uishi naye kwa muda mrefu kuna vitabia na viashiria vitakupa mwanga
Dah...Morning..,....View attachment 1887927

......Morning..,....View attachment 1887927
Mzee wa vi .........
Hujambo binti /bibieMzee wa vi ...
Duuude...kushindilia unakujua au unakusikia??🤔🤔Mimi breakfast mchana nashindia matunda mpaka saa mbili au tatu usiku,we mwenzangu unashindilia menu ya uhakika lakini unenepi.
Poa kabisa. Whatsup?
Ankali wangu hujambo?😁😁😁Morning..,....View attachment 1887927