Anatafuta matapeli!😄😄😄Huyo wa kwenye font fedi anavuta bangi ?
DHDah Halafu Jana ilichomwa mbuzi sehemu
Sikujua kama upo Town
Hahaha ungenicheki kwa pmDah Halafu Jana ilichomwa mbuzi sehemu
Sikujua kama upo Town
SafiImenikumbusha mimi na Ex wangu tulikuwa mpaka tunanyweshana soda![]()
![]()
![]()
hahahhahahaha mlikua na miaka mingap??
hii hatua mimi sijawai ipitia
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sasa hivi mkikutana mnanyweshana sumu....!
Unamashauzi ila utajua mwenyewe...For the Record, Situmii Tecno wereva😉
Kuna sehemu umetouch bila kujua ikaondoa hizo features... Maana mi mwenyewe ilishanitokea.Ndio mkuu hiz ficha kwangu zimeFade hazifanyi kazi kabisa.
Hujawahi kupenda na kupendwa 🤣hii hatua mimi sijawai ipitia
Thanks D 😘Unamashauzi ila utajua mwenyewe...
Kuna sehemu umetouch bila kujua ikaondoa hizo features... Maana mi mwenyewe ilishanitokea.
Cha kufanya, bonyeza bonyeza huko kwenye hizo fonts sijui features kuna mahali utabahatisha.
Try this....mkono wa kulia kuna feature ipo kama kibox flani ila hakijafunga pande zote, ule upande ambapo hapajafunga kuna kidude kama kile cha kuzoom au kutazamia vitu vdogo vionekane vikubwa. Bonyeza hicho.... Jitahidi kuelewa 😂
Vitu gani tena ma mkubwa
Au kuhusu hiyo id yake

Hebu kwanza muite na Mama yako hapa..With this stuff ?! Heri niendelee kunyoa na mkasi
Hebu tuone hivyo ulivyonyoa na mkasiWith this stuff ?! Heri niendelee kunyoa na mkasi
Location nzuri
+Happy Ending..