Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatimae 🥰🥰
Picha ya mwaka 77 tunajiandaa kwenda Uganda kwenye ile vita na Iddi Amini.

Vipi yale mambo Chakorii au bado unaogopa kuniua kizee miye? Unajua nilishawaambia wajukuu wanitumie nauli in case ukamaliza pension yangu huko Zanzibar? Bila kusahau mazoezi ya utimamu ya kuogelea iwapo nauli ikichelewa kutumwa🙊😜🏃🏻🏃🏻
 
Tuna ishu gani tena jamani
 

Leo ilibaki kiduchuuu ninunue.
Sijui Shetani gani ameingilia Kati.


Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana.

Itabidi muanze upya Sasa,maana Pep alivuruga formations zenu zote.
Naam naam mama mtumishi.....na kwa haya machache, wacha tu baba mtumish a blow cover online, hakuna namna. It's worth it
 

"Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana"

Mtumishi mwenzangu haya maneno yamejaa upako wa kitumishi sana kiasi kwamba ile emoji lazima iondolewe mapema sana nikitoka kwenye 'huduma' 🤣🤣
 
"Pep Mtumishi mwenzangu,huwa namuelewa sana"

Mtumishi mwenzangu haya maneno yamejaa upako wa kitumishi sana kiasi kwamba ile emoji lazima iondolewe mapema sana nikitoka kwenye 'huduma'

Ukifanikiwa kuiondoa ile basi amini nakuambia utakuwa umewashinda wote.

Si unajua vile nakuelewa baba mtumishi
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…