Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20210803_111208.jpg
 
Exactly madam, Mimi nilipoenda nilikuta bei 3500. Kwahiyo nilibeba vingi, isingekuwa udogo wa gali letu ningebeba vya kuwagawia na akina Depal manake ni mpenzi sana wa Chipsi 😀

Mara ya kwanza kufika Mbeya nilishangaa nakula Chipsi za 500 na nikashindwa kuzimaliza, ughonile Mbeya🙌🙌
😀😀😀unigawie hivyo hivyo

Mwaisa kiepe ya jero tu unashindwa kumaliza? Aah bana 😂 kwamba ndiyo zinakuwaga nyingi kama za elfu 2000?
 
😀😀😀unigawie hivyo hivyo

Mwaisa kiepe ya jero tu unashindwa kumaliza? Aah bana 😂 kwamba ndiyo zinakuwaga nyingi kama za elfu 2000?
Enzi hizo nilikuwa bwana mdogo niko Shuleni pale Mbeya so nikiwa nimechoka kula ugali maharage nafika zangu abroad nagonga kiepe.

Next week nitapita tena Mbeya, kwahiyo lazima nikahemee viazi, maparachichi, hoho, carrot, ndizi za kutosha na Mchele wa Kamsamba. Kwahiyo miss Depal andaa chombo tu cha kubebea 😀
 
Ndizi na carrot hata huku zipo nyingi.

Naandaa gunia la kubebea viazi na parachichi. Ukigeuka hivi unajazia na zabibu 😂 afu unatuma na shabiby
 
Back
Top Bottom