Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3059] My baby girl
20210802_102617.jpg

Just the two of us[emoji442][emoji441][emoji440]🪕[emoji447][emoji450][emoji448][emoji449][emoji446][emoji446] by. Willy Smith [emoji3059][emoji3059][emoji7]
 
Kule viazi vingi sana
Ukivibahatisha wakati wa mavuno huwa Bei haizidi 5k debe
Exactly madam, Mimi nilipoenda nilikuta bei 3500. Kwahiyo nilibeba vingi, isingekuwa udogo wa gali letu ningebeba vya kuwagawia na akina Depal manake ni mpenzi sana wa Chipsi 😀

Mara ya kwanza kufika Mbeya nilishangaa nakula Chipsi za 500 na nikashindwa kuzimaliza, ughonile Mbeya🙌🙌
 
Mungu anibariki na Mimi nipate ka Baby Girl Kama haka ili nianze kufuga Mbwa wale wa Kizungu nyumbani.

Kama hautajali naomba undugu Mkuu wangu tulete Posa mapema na tuanze kumsomesha Mkwe kwa Gharama zetu (Jokes) [emoji3]
Mkuu nina Mbwa wakubwa wawili[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺 kibali cha bastola yule mpuuzi wa Sinza kaniharibia bado napambana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu nina Mbwa wakubwa wawili[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺 kibali cha bastola yule mpuuzi wa sinza kaniharibia bado napambana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetisha Mkwilima mwenzangu, najua mkwe wangu yuko mikono salama na hakuna kijana mwingine atakae ruhusiwa kuja hapo nyumbani hata kuomba maji ya kunywa isipokuwa kijana wangu.

Tuendelee kuwasomesha Shule nzuri ili waweze kuyashinda mazingira yao ya baadaye.

Kuhusu assets za watoto tayari kijana wangu nimemnunulia hisa makampuni kadhaa ikiwemo ya Microsoft 😀
 
Umetisha Mkwilima mwenzangu, najua mkwe wangu yuko mikono salama na hakuna kijana mwingine atakae ruhusiwa kuja hapo nyumbani hata kuomba maji ya kunywa isipokuwa kijana wangu.

Tuendelee kuwasomesha Shule nzuri ili waweze kuyashinda mazingira yao ya baadaye.

Kuhusu assets za watoto tayari kijana wangu nimemnunulia hisa makampuni kadhaa ikiwemo ya Microsoft [emoji3]
Kabisa aisee huyu asiposoma manyang'au yatamchakaza mapema saaaaana
 
Umetisha Mkwilima mwenzangu, najua mkwe wangu yuko mikono salama na hakuna kijana mwingine atakae ruhusiwa kuja hapo nyumbani hata kuomba maji ya kunywa isipokuwa kijana wangu.

Tuendelee kuwasomesha Shule nzuri ili waweze kuyashinda mazingira yao ya baadaye.

Kuhusu assets za watoto tayari kijana wangu nimemnunulia hisa makampuni kadhaa ikiwemo ya Microsoft [emoji3]
We mkwe mzuri mwanao aje kwa adabu maana kakaake ni mtata balaa
 
Muhimu sana asome, kwanza itamletea kujiamini lakini pia itakuwa ni maandalizi ya kesho yao. Hata kama Wazazi tutawaachia Mali na Kampuni itakuwa rahisi wao kuziendeleza.

Kila la Kheri Mkwilima
Poa mkuu msomeshe mwanao asije mpa mzigo mrembo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Poa mkuu msomeshe mwanao asije mpa mzigo mrembo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha......bila Shaka Mkuu, najitahidi kumsomesha kwenye shule nzuri tangu awali. Nadhani pia Wakwelima sisi tujipange kumwona Rasi Simba kwa short course , kijana amesahau kuongea Kiswahili Chetu 😀.

Ili kuepuka kuitwa Mwanaume Suluali na Mkwe wangu siku za Usoni, kijana wangu akifika 18yrs ataanza kujifunza kuendesha biashara ili aanze kuuchukia Umasikini mapema.
 
Hahaha......bila Shaka Mkuu, najitahidi kumsomesha kwenye shule nzuri tangu awali. Nadhani pia Wakwelima sisi tujipange kumwona Rasi Simba kwa short course , kijana amesahau kuongea Kiswahili Chetu [emoji3].

Ili kuepuka kuitwa Mwanaume Suluali na Mkwe wangu siku za Usoni, kijana wangu akifika 18yrs ataanza kujifunza kuendesha biashara ili aanze kuuchukia Umasikini mapema.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] hapo tupo sawa kakaake yupo Anne Maria huyu bado bado anahitaji some love
 
Back
Top Bottom