Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20210629_075732_2.jpg

IMG_20210629_075227_8.jpg

Wenye Singida yao watakuwa wanajua maeneo haya vyema.

Ukiwa mpenzi wa kuku choma kama Mimi haya ni maeneo ya kula hadi uzikimbie ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
IMG_20210629_164648_0.jpg

Nimewauliza wenyeji wanasema hilo linaitwa Ziwa Singidani.

Huu ni mwezi Juni, sijui hali itakuwaje kufika mwezi Novemba kama halitakauka.

Nadhani jitihada zifanywe kulinusulu na mabadiriko ya tabia ya Nchi hasa na tishio la shughuli za kibinadamu.

Ngoja niendelee kula Kuku za Kienyeji ๐Ÿฝ๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ–๐Ÿ–๐Ÿพ๐Ÿฅ‚
 
Back
Top Bottom