Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210629-WA0031.jpg
 
Tumepunguza mno kuselfika! Shida nini wadau.. Kumbukeni si lazima sura.. Hata upaja tu ulionona[emoji39][emoji16] ruksaaa! Au zile za kubinua kishoes![emoji3][emoji3][emoji3] kwa wanawake tu lakini au guu kama la ankal wangu Chakorii , au komwe kama la mjukuu wangu cocastic [emoji16]! Vp kuhusu kiuno nyigu cha Depal [emoji23][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
 
Ankal........😀😀 ngoja kwa huu m’banano nilionao nasahau kabisa kutupia mapwicha ankal wangu..ila usijali nitatupia veri suni
 
Back
Top Bottom