Wacha tupambane Kwanza hapa mtaa wa pili baadae kwenye kiti kirefu ukiwa na raha mwanana kabisa na mtoto mzuri kabisa akiwa kavalia kibrazilian black and hot
Ngoja nitajaribu kumuangalia .
Nina miaka zaidi ya 10 tangu niachane na movie za kibongo .
Watu wanajua kuigiza mapenzi tu,,,tena nayo stori unajua kabisa Inaelekea huku.
Hizo za kupigana ndio kabisa
,
Ngoja nimcheck huyo jamaa ,,
Ila bro acha kumlinganisha Damme na watu wa ajabu...hivi yale mateke yake umeyaona vizuri kweli anavyoyatandika?