Selfika na JF: Snap it. Show it

Atakua kanenepa huyo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mi jamani nguo zimeanza kuwa kubwa kwangu. Hii jeans yenyewe nimevaa kila muda naipandisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Picha ya mdogo wangu ya zamani hiyo ujue ila kama sasa hivi kaanza kunenepa mana jeans zake nyingi hazipiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…