Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Akhsante sana mkuu nimepoa

Kweli BIN NUN haikuwa mchezo

Vipi kwema lakini
Kwemaa polee hope medical umepata msaada.
But tafuta haya mafuta ili upone haraka usipuuze
lookman-e-hayat-oil-500x500.jpg
 
Yeah Nipo hapa tena nimekula vumbi plus nyama Choma la maana aiseh maana nimekuja mapema
Unaendaje alone na wewe sasa
Jmos ijayo ntakushitua .utapigaje vyombo pekeako sema hapo huwezi kosa kampani wadosi/bakabaka kibao.ungepost muda ngekufata tujoin umeharibuuu.
Ngoja niwahi pesa kwanza ili next tuzile vizuri.
 
Daah mkuu pole sana na hongera pia kwa kutoka salama kwenye ajali hiyo. Mkono wa Bwana na ukuguse, upokee uponyaji na ukawe mzima tena. It is well.

(Usisahau kwenda kutoa na sadaka ya shukrani mdogo angu; ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii)
Habarini za asubuhi wapendwa

Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa

Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
 
Daah mkuu pole sana na hongera pia kwa kutoka salama kwenye ajali hiyo. Mkono wa Bwana na ukuguse, upokee uponyaji na ukawe mzima tena. It is well.

(Usisahau kwenda kutoa na sadaka ya shukrani mdogo angu; ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii)
Amina mpendwa wangu Heaven Sent

Akhsante sana kwa maneno yako mazuri na yenye kufariji

Hakika nitafanya hivyo mpendwa
 
Back
Top Bottom